OKOA MAISHA YA FRANK NYALUSI ANAUMWA YUPO ICU ,HAWA HAPA WAANZA KUCHANGIA .
Mkurugenzi wa Matukio Daima Media Francis Godwin ameungana na marafiki wa Frank Nyalusi kumchangia pesa za matibabu Nyalusi ambae amelazwa Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa.
Vick Kalamata ni mke wa Nyalusi amewashukuru wote wanaoendelea kumchangia mgonjwa wake na kutoa namba hizi kwa wanaoguswa kuchangia Halo Pesa ni 0629 290804 M-PESA 0754917051 jina Frank John Nyalusi
Walioanza kuchangi leo J5 Septemba 17
1:Francis Godwin 15000
2:Kaza Roho 5000
3:Nguvu Chengula 10,000
4:Timo Fungo 2000
5:MDAU 2000
6John Photo nex 5000
7 James 1000
8 Shukuru chinga 2000
9 Baraka 1000
10 Mashaka 2000
11:Bosco 5000
12 Kitosi 2000
13 Maneno 5000
14 Michael 2000
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
UKITUMA PESA SMS YA UJUMBE ULIOTUMA TUMA KWA NAMBA HII 0754026299 ILI KUONGEZA ORODHA YA MAJINA YA WATU WALIOCHANGIA
0 Comments