Header Ads Widget

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AMESHIRI KAMPENI YA MGOMBEA NAFASI YA RAIS KUPITIA CCM DKT SAMIA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki katika kampeni za Mgombea nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 13 Septemba 2025.






 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI