Header Ads Widget

FRANK NYALUSI ANAUMWA MKE AOMBA MCHANGO


 


Mkurugenzi wa Matukio Daima Media Francis Godwin ameungana na marafiki wa Frank Nyalusi kumchangia pesa za matibabu Nyalusi aliyekuwa  amelazwa Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa na usiku wa kuamkia  Septemba 19 amefariki dunia 

Vick Kalamata ni mke wa Nyalusi amewashukuru wote waliojitokeza kuchangia kuokoa maisha ya mume wake .


Frank John Nyalusi sasa hatunae tena amefariki dunia taratibu za mazishi zinaendelea hivyo tunaomba kuungana kuchangia gharama za mazishi kwa namba hizi    kwa wanaoguswa kuchangia Halo Pesa ni 0629 290804 M-PESA  0754917051  jina Frank John Nyalusi 


Walioanza kuchangi leo J5 Septemba 17

1:Francis Godwin 15000

2:Kaza Roho 5000

3:Nguvu Chengula 10,000

4:Timo Fungo 2000

5:MDAU 2000

6John Photo nex 5000

7 James 1000

8 Shukuru chinga 2000

9 Baraka 1000

10 Mashaka 2000

11:Bosco 5000

12 Kitosi 2000

13 Maneno 5000

14 Michael 2000

15Yahaya Mpelembwa 10,000

16Julius 2000

17 Santona 20000

18

19

20

21

22

23

24

25

26

27

28

29

30


UKITUMA PESA SMS YA UJUMBE ULIOTUMA TUMA KWA NAMBA HII 0754026299 ILI KUONGEZA ORODHA YA MAJINA YA WATU WALIOCHANGIA 


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI