Header Ads Widget

CCM YATINGISHA PEMBA KWA UZINDUZI WA KAMPENI

 

Na Matukio daima media

Shangwe, nderemo na hamasa zimetawala katika kiwanja cha Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake, Pemba baada ya maelfu ya wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kushuhudia uzinduzi wa kampeni za chama hicho.

 Umati huo uliofurika unaashiria  mshikamano na imani kubwa ya wananchi kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Katika mkutano huo wa hadhara, Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kueleza dira na muelekeo wa maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo endapo atapewa ridhaa na wananchi kuendelea kuongoza Zanzibar, akiahidi kuimarisha uchumi, ustawi wa jamii na fursa mpya kwa vijana na wananchi kwa ujumla.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI