Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Manyoni Ndg. Elias Mollel jana tarehe 14 Agosti 2025 Amekabidhi Fomu ya Uteuzi kwa Mgombea wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Manyoni kutoka Chama cha ACT- Wazalendo Bw. Isingo Ngoma Msaru
Tukio hili limefanyika katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Manyoni iliyopo katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.
"Kura yako Haki yako Jitokeze kupiga Kura"<
0 Comments