Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)mheshimiwa Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Watendaji wa Benki ya NMB wakiongozwa na Bi. Vicky Bishubo, Meneja mahusiano Benki na Serikali ambao walifika kujitambulisha na kutambulisha bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo.
Katika kikao hicho mheshimiwa waziri Kikwete pamoja na kuwakaribisha ofisini kwake bado alieleza kazi mbali mbali zilizofanywa na wizara yake katika kutekeleza Ilani ya CCM .
Huku akiwatambulisha baadhi ya maeneo ambayo benki hiyo inaweza shirikiana na Serikali katika kufanikisha uwezeshaji Vijana na Jamii.
#KaziInaendelea #UwezeshajiVijana
0 Comments