RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hasan amempongeza papa mpya .
kupitia ukurasa wake wa X Rais Dr Samia ameandika
"Habemus Papam!
Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza."
0 Comments