Papa Mpya wa Kanisa Katoliki amepatikana, na kutangazwa Vatican.
Naitwa Robert Francis Prevost kutoka nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa Mmarekani wa kwanza Kushika wadhifa huo.
Robert Francis Prevost mwenye umri wa miaka 69 anakuwa papa Mpya mara baada ya mchakato wa upigaji kura kukamilika, Prevost amechagua Jina la Papa Leo XIV.
Mwisho.
0 Comments