Header Ads Widget

JAJI WARIOBA : RAIS AWAITE CHADEMA, CCM WAMALIZE TOFAUTI ZAO.


Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku wamemshauri Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaita pamoja Serikali, CCM na CHADEMA ili wamalize tofauti zao kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu wakisema nchi ipo kwenye matatizo makubwa na mazungumzo yasipofanyika migongano itazidi na italeta madhara kwa Wananchi.


Akiongea leo May 03,2025 kwenye kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu lililoandaliwa na TLS, Mzee Warioba amesema “Mimi na Mzee Butiku tulikuwa tumefikiria mambo ya kushauri, tumesema nchi ipo katika matatizo na ni matatizo makubwa, Viongozi wa nchi waone uzito wake na wachukue hatua, bado tuna muda wa kuweza kuzungumza tukafikia mwafaka, hatujaanza process ya uchaguzi, itaanza baada ya Bunge kuvunjwa, kwa kipindi hiki tunayo nafasi ya kuzungumza na tukafikia mwafaka”

“Na haya mambo sisi tulikuwa tunasema kama ni kurekebisha dosari zilizotokea 2019,2020,2024 (kwenye chaguzi) tunao muda kwasababu ni mambo ya kanuni, kanuni hazihitajiki kwenda Bungeni, tukikubaliana kanuni zinaweza kubadilishwa, tufikie makubaliano, tusiende kwa mapambano”

“Rais achukue jukumu, haya matatizo yalianza awamu ya 5, alipokuja Rais Samia alichukua hatua maana shughuli za kisiasa zilifungiwa, uhuru wa maoni ulizuiwa, akachukua hatua, akakutanisha Vyama vya Siasa vikazungumza, nchi ilikuwa imetulia sasa yanazuka haya, bado anaweza kwa kuona uzito wa jambo hili na kwamba maridhiano ni muhimu anaweza akawaita hasa wanaohusika, Serikali, CCM , CHADEMA wakae tofauti zao kila upande ukubali kwamba waache msimamo wao kwa kiwango”

“Waone tunafikia makubaliano gani ili tunakwenda kwenye uchaguzi bila matatizo, tusipofanya hivyo haya tuliyoyaona sasa yataendelea, kwa sasa kuna Watu wanadai wameumizwa sababu ya siasa, tutaendelea kufika kampeni imeanza Serikali itasema Polisi wasimamie amani washughulike na yoyote anayetaka kuvuruga amani, CHADEMA watasema no reform no election, katika migongano hiyo italeta madhara kwa Wananchi, wakikutana wawe na Watu wa kuwashauri na kwa mawazo yetu tunafikiria Viongozi wa Dini wanaweza kusaidia mazungumzo”


SOMA SIMULIZI CHINI 👇 

Mwamba akutanisha warembo watatu kwa mpigo, kilichofuata sasa!


Siku moja kulikuwa na drama huko Loresho, Nairobi nchini Kenya baada ya wanawake watatu kujikuta wakimgombania mwanaume ambaye wote walitamani kuwa naye ndani ya ndoa.

Unaweza kuwa umeona video hiyo katika mitandaoni ya kijamii ikisambaa sana ambapo inaonyesha hali ya mtafaruku kwa mwanamume huyo aliyekuwa ameketi kitandani, huku wanawake hao watatu wakizozana.

Kwa miaka mingi mwanaume huyo aitwaye Moses Munga alikuwa akihangaika kutafuta mapenzi ya dhati, licha ya utajiri wake mkubwa hakufanikiwa kumpata mwanamke wa kutuliza moyo wake. 

Majaribio yake ya kupata mwenzi wa maisha yalikwamba mara kwa mara kwani wanawake walionekana kuvutiwa zaidi na mali zake na sio kuwa tayari kufunga naye ndoa kitu ambacho kilikuwa kinamuacha njia panda.  


Hata hivyo, mabadiliko yalitokea mwaka mmoja uliopita ambapo Moses alianza kuwavutia wanawake warembo na kumpenda kikweli kweli na kujenga uhusiano wenye lengo la kuanzisha maisha.

Hata hivyo, Moses alihisi anahitaji la kulipiza kisasi kwa kile walichofanyiwa na wanawake wengi huko nyuma, hivyo alijikuta yupo katika uhusiano na wanawake wengi ili kukidhi matamanio yake ya kimwili. 

Bila kujua, Moses alikuwa amewapa wanawake watatu funguo za ziada za nyumba yake kama ishara ya uaminifu na upendo wake kwao bila kujua athari zake ni zipi. 

Katika hali isiyo ya kawaida, wanawake hao watatu kwa bahati mbaya walikusanyika nyumbani kwa Moses, wakionyesha wasiwasi juu ya uaminifu wake kwao. Ghafla vurugu zilivuka, wanawake hao wakishutumiana kwa kuiba mwanaume huyo. 

Mwanamke mmoja alidai kwa shauku, "uyu ni wangu, simuachi, unajua tulipo tok kweli?, hapa tuna mipango ya harusi.”

Katikati ya tafrani hiyo, mmoja wa wanawake hao alirekodi ugomvi huo kwenye simu yake na kurusha mtandaoni. 

Baada ya kama saa moja, ghasia hizo zilipungua na wanawake hao watatu wakaondoka nyumbani kwa Moses. 

Kufuatia kusambaa kwa video hiyo, marafiki wa Moses walifika kuulizia kuhusu tukio hilo, Moses alithibitisha kuhusika kwake na kusema hayo yametokea baada ya kutumia dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi kutoka kwa Kiwanga Doctots.


"Mwanangu, naona tuliyokupa inafanya kazi, lakini unatumia nguvu hii vibaya, kwa nini? Utajuta ukiendelea hivi. 

Tumia nguvu ya hirizi hii ya mapenzi kupata mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati na kutulia. Usitumie uwezo huu kutafuta raha ambayo haitakupeleka popote," walimuonya.

Tangu wakati huo, Moses ametuliwa na mwanamke wa Ethiopia ambaye alikuwa akifanya biashara jijini Nairobi, huyu ndiye aliyemua na kuwa mke wake.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI