Na Moses Ng'wat, Songwe.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewataka makada wake wanaojipitisha kwa wapiga kura kabla ya wakati rasmi wa kampeni kuacha mara moja, kikisisitiza kuwa chama kina “macho na masikio makubwa mno” yanayofuatilia kila hatua.
Kauli hiyo imetolewa Aprili 28, 2025, na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo katika Mkoa wa Songwe, Mwalimu Yusuph Rajab, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maamuzi ya vikao vya maadili vilivyoketi kujadili migogoro ya ndani ya chama, ikiwemo mgogoro kati ya Mbunge wa Momba, Kondesta Sichalwe, na Umoja wa Vijana wa Chama hicho (UVCCM) Wilaya ya Momba.
“Tupo kwenye mwaka wa uchaguzi. Chama chetu kina utaratibu wa kuomba nafasi, kuwapitia waombaji, na uteuzi, lakini sasa tunaona kuna watu wanajipitisha kwenye majimbo na kata...CCM ina macho na masikio makubwa mno – tunawaona, tunawasikia, na tunawafuatilia,” alisema Rajab.
Rajab alisema wanachama hao wanapaswa kuelewa kuwa chama hakitavumilia uvunjaji wa taratibu, na kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakayebainika kufanya kampeni za mapema.
“Sio kwamba hatujui, tunafuatilia kila hatua na watambue kuwa majina yanayorudi ni matatu tu safari hii tuko makini kuliko wakati mwingine wowote,” aliongeza.
Aidha, Rajab alisisitiza kuwa CCM itaendelea kushikilia misingi yake ya nidhamu, utii na maadili, na kwamba chama hakitakuwa na masihara kwa wale wanaokiuka taratibu zake.
“Tunasema wazi, tusije kulaumiana. Utaratibu wa ndani ya chama chetu uko wazi. Tufuate sheria, mila na utamaduni wa CCM,” alihitimisha.
Mwisho.
SIMULIZI CHINI⬇️⬇️⬇️
Mamna uchawi wa mapenzi ulivyomrudisha mke wangu
Jina langu ni Hamadi Murimi, mwanamume ambaye maisha yake ni shuhuda wa ukweli kwamba kila chaguo tunalofanya katika maisha huturudia na wakati mwingine kuamua hatima yetu bila ya sisi hata kupenda.
Kwa muongo mmoja, nilibarikiwa kuwa na mwanamke mmoja mzuri ajabu sana ambaye kusema kweli alikuwa ni mwanga wa upendo na utulivu katika maisha yangu.
Hata hivyo, kutokana na udhaifu kama mwanaume kuna wakati nilipotoka na kutoka kwenye njia. Nilimsaliti, na kwa kufanya hivyo, nilivunja utakatifu wa ndoa yetu. Kubainika kwa uovu wangu huo ambao ulipelekea kupata watoto wawili nje ya ndoa, kuliashiria mwanzo wa anguko.
Siku ambayo mke wangu alifichua siri yangu ndiyo siku ambayo uaminifu wangu kwake ulianguka rasmi. Alikuwa amehuzunika, moyo wake ukiwa umepasuliwa kwa usaliti wangu, alivunja ndoa yetu na kuondoka katika nyumba tuliyojenga pamoja.
Baada ya kuondoka kwake, nilighubikwa na majuto bila kujua ni kipi cha kufanya katika hali hiyo mbaya zaidi ambayo ilikuwa ndio mara ya kwanza kunipata katika maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu.
Siku moja nikiwa natazama taarifa ya habari katika kimoja cha runinga hapa nchini, niliona tangazo la Kiwanga Doctors likieleza kuwa moja ya huduma wanazotoa ni pamoja na kusuluhisha migogoro ya kifamilia na ndoa.
Nilichua namba zao na kuwasiliana nao mara moja, nilimueleza shida yangu na aliweza kuniita ofisini kwake kwa ajili ya mazunguzo, nilieleza yote yaliyojiri bila kificho chochote kile, sikutaka kuwa muongo maana tayari nipo kwenye matatizo.
Walinifanyia matambiko na kunipa uchawi wa mapenzi kisha kunihakikishia ndani ya siku chache mambo yatakaa sawa. Walisema watu wengi wamepona na kupata suluhisho la changamoto zao kupitia wao, hivyo nisiwe na wasiwasi kabisa.
Baada ya siku tatu, mke wangu alirejea mwenyewe nyumbani na kusema ameamua kunisamehe kutokana na makosa yangu ambayo nilimtendea. Ilikuwa ni habari njema iliyokuja kwa ghafla sana bila kutarajia.
Sikuamini, hadi nililia machozi maana nilikuwa najua kutokana na makosa niliyomfanyia, basi ndoa yetu haiwezi kupona tena. Yaani sikuwa na matarajio yoyote kuhusu yeye.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments