Ibada ya mazishi ya Papa Francis imeanza rasmi katika Uwanja wa Mtakatifu Petro, huku Vatican ikitangaza kuwa zaidi ya watu 200,000 wamekusanyika kuhudhuria ibada hiyo ndani ya uwanja na maeneo yanayozunguka.
Hata hivyo, polisi wa Italia wametoa takwimu tofauti, wakikadiria idadi ya watu kuwa takriban 150,000, ambapo karibu 50,000 wapo ndani ya Uwanja wa Mtakatifu Petro.
Kiongozi wa ibada ya mazishi ni Dekano wa Chuo cha Makadinali, Kardinali Giovanni Battista Re. Kardinali huyo Muitalia mwenye umri wa miaka 91 alipata upadrisho katika Jimbo la Brescia mwaka 1957 na Mwaka 2001, Papa John Paul II alimteua kuwa kardinali.
Kardinali Re alichaguliwa kuwa dekano wa Chuo cha Makadinali mwaka 2020, na Papa Francis aliongeza muda wake katika wadhifa huo mwezi Februari mwaka huu. Alishiriki katika mkutano mkuu wa makadinali wa Aprili 2005, ambao ulimchagua Papa Benedict XVI, na pia katika mkutano mkuu wa Machi 2013, ambao ulimchagua Papa Francis.
Hivi sasa, Kardinali Giovanni Battista Re anatoa homilia, ambayo inakumbuka maisha na urithi wa Papa Francis. Akianza hotuba yake, kardinali alisema: "Upendo mwingi ambao tumeushuhudia katika siku za hivi karibuni kufuatia kifo chake kwenda katika maisha ya milele inatuambia ni kwa kiasi gani utumishi mkuu wa Papa Francis uligusa akili na mioyo."
SOMA SIMULIZI CHINI ⬇️ 👇 ⬇️
Asimulia alivyovunja kizingiti cha mikosi
Katika ukoo wetu kuna kitu ambacho kilikuwa kina mtokea kila mtu, mwanzo nilikuwa nahisi ni bahati mbaya lakini nikaja kubaini kuwa ukoo wetu umevamiwa na mikosi ya kutisha.
Jambo liloshangaza kulikuwa hakuna mtoto ndani ya ukoo alikuwa anafaulu sehemu yoyote katika masomo yake, wote walikuwa wakifika darasa la saba wanafeli na kurudi nyumbani kuchunga mifugo.
Kibaya zaidi hata walipokuwa vijana wakubwa wengi waliishia kwenye matumizi ya dawa za kulevya, wizi na ukahaba, hadi ukoo wetu ukawa umechaka kwa kusemwa vibaya na kuonekana una watu wa hovyo sana.
Kingine ni kwamba hata wale ambao tulionekana kuwa afadhili kila ambavyo tulikuwa tunajitahidi kujikwamua kutoka kwenye umaskini hali ilikuwa mbaya zaidi.
Biashara zetu zilikuwa vinavunjwa na kuibiwa, hali hiyo ilitufanya kufilisika maana tulikuwa tumechukua mikopo ya biashara na kushindwa kufanya marejesho.
Tulipambana sana kuweka mambo sawa lakini tulifikia hatua hadi kuuza mashamba kwa ajili ya kulipa madeni ambayo yalikuwa ya hovyo. Wakati mwingine ndugu zetu wengine walikamatwa na mali za wizi, hivyo tunaambiwa tulipe halafu tunakuwa hatuna fedha, hivyo tunauza shamba.
Wakati mwingine ndugu yetu wengine anamchoma mtu kisu, anakamatwa na Polisi kwenda kumtoa na mambo ya kesi kwa ujumla fedha inazidi kutumika nyingi.
Ilifikia hatua nikataka kuhama familia yangu lakini nikaona mimi pekee yangu ndiye mwenye akili ambaye nikifanya juhudi na maarifa naweza kuubadili upepo.
Katika kusoma kwenye mitandao ya kijamii niliweza kukutana na wavuti ya Kiwanga Doctors, nilisoma kwa makini kuhusu huduma zake na kufahamu kuwa anaweza uondoa mikosi katika maisha. Niliamua kumpigia kwa namba yake ambayo niliikuta katika wavuti yake.
Aliniuliza maswali mengi kuhusu ukoo wangu, nami nilikuwa muwazi kwake na kumueleza jinsi ambavyo tumekuwa tukiteswa na mikosi ya ajabu ajabu. Mwishowe aliniambia nisiwe na wasi wasi kwani atashughulikia jambo langu na ndani ya siku tatu nitaanza kuona mabadiliko.
Baada ya siku mbili dada zangu waliokuwa wanafanya ukahaba mjini walirejea nyumbani na kusema wameamua kuja kutulia wafanye mambo ya maana, taratibu na wale waliokuwa wanatumia dawa za kulevya waliacha. Kikubwa zaidi ni kwamba watoto walianza kufaulu kwenda sekondani hadi chuo jambo ambalo halikuwahi kutokea hapo awali.
Hadi sasa hakuna tena madeni ambayo yalipelekea kuuza mashamba yetu mengi na mikosi imeisha na sasa kila mtu anautamani ukoo wetu kwa jinsi ambavyo mambo yetu wanaenda sawa.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments