Header Ads Widget

WAZIRI DKT PINDI AKIWA KATIKA KIKAO KAZI

 



Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt.Pindi Chana(Mb) akipitishwa katika taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa barabara kutoka Loduare - Golini (83km) pamoja na kipande cha kuunganisha Makumbusho ya Bonde la Olduvai (5km) katika kiwango cha tabaka gumu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA).


Kikao hicho kilichohudhuriwa na Kamishna  SACC- Salma Chissonga, Kaimu Makamishna kutoka NCAA na Kamati ya Uhifadhi wa Faru Kitaifa kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii kimefanyika leo Februari 13,2025 jijini Dodoma.




Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI