Header Ads Widget

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA TUME YA KUTATHIMINI MIGOGORO HIFADHI YA NGORONGORO.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.



Na Mwandishi wetu.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Feb 20, 2025, amezindua Tume ya Rais ya Kutathimini kuhusu Masuala ya Mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume Rais ya Kutathimini zoezi la Uhamani wa hiari wa  wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam.


*Source:Uhuru online*


Mwisho.






Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI