Habari za jioni poleni na changamoto ya kukatika kwa maji Umeme ulikuwa umekatika kituo cha uzalishaji ndiuka hivyo kupelekea uzalishaji kusimama Kwa sasa umeme umerejea lakn bado hauna nguvu hivyo kushindwa kuendesha mitambo jitihada zinaendelea kufanyika na ndugu zetu wa tanesco ili huduma iweze kurejea kama kawaida Tunaonba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
Asante
0 Comments