Asalam alaikum naleta kwenu picha ya Bint aliyetambulika kwa Jina la Husna Shaaban Kasea 20 yrs, Mzaliwa wa Kijiji Cha Itobela Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora,alikuja kutafuta maisha hapa kibaha Pwani,amepata ajali ya kugongwa na gari akiwa katika pikipiki amefarikiinnalillah wainnailah rajioun.
Maiti imehifadhiwa hospitali ya Rufaa Tumbi.
Tumefanya jitihada za kutafuta ndugu zimeshindikana, tunaomba kwa yeyote atakayeweza kumtambua awasiliane na polisi kibaha au apige simu namba 0788604545, 0656077023.
Sambaza ujumbe huu katika Magroup iwekanavyo ili Binti huyu apate stala.
VIDEO FULL TEMBELEA CHANEL YA MATUKIO DAIMA DAIMA HOTNEWS TV
































0 Comments