Header Ads Widget

WATU SABA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA UMEME


 WATU saba wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhujumu Miundo mbinu ya Umeme wilayani Mvomero na Kilimo wilayani Kilosa kwa kuharibu Miundo mbinu ya shamba la mbegu la Msimba lililopo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.


Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP alex Mkama zimebainisha kukamatwa kwa watuhumiwa watatu wakihusishwa na tuhuma za kuiba rola tano za nyaya za umeme zenye thamani ya shilingi milioni 57 mali ya Shirika la ugavi wa umeme Tanzania, TANESCO katika Kijiji cha Mndele wilayani Mvomero.


Akawataja waliokamatwa kuwa ni Dismas Alex Petro,28, mkazi wa Dar es salaam ambaye ni fundi Umeme, Alawi Kajoka Evodius (32)mkazi wa Mbagala Dar es salaam na Muhoza Bombo (40)mkazi wa Kigamboni ambao waliokamatwa maeneo ya mtaa wa Boma, Ilala Jijini Dar es salaam.


Wengine waliokamatwa ni watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya kilimo katika eneo la kitongoji cha Msimba kijiji cha Ilonga wilayani Kilosa.


Watuhumiwa hao jamii ya Wafugaji,

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI