HAKIKA Duniani Kuna mambo mwanaume mwenye umri wa miaka 25, Nobert Mulwo ameshtua Familia yake na Maafisa wa upelelezi Nchini Kenya baada ya kubainika kuwa alijiteka na akajijeruhi kisha kudai fidia ya Ksh. 100,000 (takribani mil 1 na laki 8 za Kitanzania) ili kufidia mshahara wake wa Novemba alioupoteza kwenye kubeti.
Kwa mujibu wa CitizenTv Kenya, Familia ya Mulwo iliripoti tukio hilo katika Kituo cha Polisi cha Kajiado ikidai kuwa alitekwa nyara na Watu wasiojulikana waliokuwa wakitumia Gari aina ya Toyota Probox huko Kitengela usiku wa Alhamisi na baadaye Watekaji walituma ujumbe kwa Dada yake Mulwo wakidai kiasi hicho cha pesa kama fidia ya kumwachia huru.
Kwa lengo la kufanya madai yake yaonekane ya kweli Mulwo alijijeruhi kwa kutumia wembe akajifunga kwa kamba mikononi na miguuni na kufunga mdomo wake kwa bandeji zenye damu kisha akatuma picha za hali hiyo kwa Dada yake kama ushahidi wa ukatili wa Watekaji wake.
Hata hivyo Maafisa wa upelelezi walifuatilia na kumkuta Mulwo akiwa katika Nyumba ya kulala Wageni ya Mutuku Lodgings pia walibaini kuwa Mulwo mwenyewe ndiye aliyepanga njama hiyo kwa kushirikiana na Mshirika wake anayejulikana kwa Jina moja tu Ndolo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wapelelezi vitu vilivyokamatwa ni pamoja na shilingi za Kenya elfu 10,100,Simu aliyotumia kuwasiliana na Familia yake, Wembe aliotumia kujijeruhi na bandeji na sasa Mulwo anashikiliwa akisubiri kufikishwa Mahakamani.
MWISHO
Hii ndio dawa ya kuikinga biashara yako na kukuletea mafanikio
Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.
Jina langu ni Lilian toka Nairobi, Kenya, tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana biashara, nakumbuka nikiwa kijijini kwetu huko Meru, mara kadhaa nilikuwa naenda sokoni kuuza vitu wakati ningali mdogo.
Niliamua kufanya hivyo kutokana na hali ya umaskini iliyokuwa imeikumba familia yatu kwa kiasi kikubwa. Nilijiapiza siku ambayo nakuja kuwa mtu mzima lazima nifanye biashara kubwa.
Baada ya kuwa mkubwa nilihamia Nairobi kwa shangazi yangu, nilianza kufanya kazi katika Mgahawa mmoja ambapo nilitunza fedha hadi kupata mtaji ambao niliutumia katika biashara.
Wakati namuaga yule mwenye Mgahawa nilimwambia wazi kuwa naenda kufungua biashara ya kuuza nguo za mitumba na kama nikishindwa basi siku moja nitarejea kwenye kazi ile hivyo asisite kunipokea.
Alifurahishwa na uwazi wangu kwake na kuniambia vijana wengi wanapopata fedha hutafuta visa vya kuacha kazi na huondoka bila kuaga.
Akaniambia kwa vile nimekuwa muungwana kwake basi atanipa mbinu ambazo zitaniwezesha kufanikiwa kibiashara ambazo yeye amezitumia na ndio siri ya mafanikio yake.
Yule Bosi wangu aliniambia niwasiliane na Dr Bokko ili aweze kunipatia dawa ya kuikinga biashara yangu nisije kurejeshwa nyuma na mtu yeyote yule. Basi alinitajia namba yake ambayo ni +255618536050.
Niliamua kuipiga pale pale na ikapokelewa na muhusika mwenyewe, aliniambia nisiwe na wasiwasi kwani ameshawasaidia watu wengi kama mimi.
Basi nikatumiwa dawa yangu, na moja kwa moja nikaanza biashara ya kuuza nguo za mitumba. Kwa hakika biashara yangu ilichanganya ndani ya muda mfupi sana hadi majirani zangu wakaanza kunionea wivu.
Sikuwa na wasiwasi wowote ule kwani tayari biashara yangu nilikuwa nimeshaikinga na dawa, ninapozungumza huu ni mwaka wa saba nauza nguo katika eneo lile lile, huku nikiwa nimefungua maduka makubwa matatu ya kuuza nguo za aina zote.
Mwisho.
0 Comments