Header Ads Widget

RAIS UTPC AMPONGEZA MWENYEKITI MPC EDWIN SOKO, KUACHANA NA UKAPERA



Rais wa Umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Deogratius Sokolo amempongeza Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) Edwin Soko kwa hatua ya kuachana na ukapera.


Sokolo amesema hayo Mkoani Singida wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa UTPC.



Hata hivyo ametoa kauli hiyo, baada ya picha za Edwin Soko kuonekana kwenye mitandao ya kijamii akishiriki sherehe za kumuaga ya mke wake mtarajiwa, Lulu Samson eneo la Tukuyu jijini Mbeya, na kuvuta hisia za watu mbalimbali.




Mwenyekiti huyo wa Klabu ya waandishi wa habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) Edwin Soko anataraji kufunga ndoa na Lulu Samson mwanzoni wa Mwezi Novemba mwaka huu.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI