Vitus Nkuna aliyekuwa mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa kabla ya Rufaa Baleke kushinda
Victor Baleke amekuwa mwenyekiti wa Baraza la Vijana chadema (BAVICHA) Kanda ya Nyasa baada ya kamati kuu ya chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iliyoketi wiki hii jijini Dar es Salaam kupitia Rufaa yake na kutoa maamuzi ya kumpa ushindi Baleke aliyekata Rufaa hiyo kupinga ushindi wa Nkuna ,katika Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa uliofanyika Makambako Vitus Nkuna ndiye aliyetangazwa mshindi wa nafasi hiyo kabla ya Baleka kukata Rufaa na kushinda.
Victor Baleke Mwenyekiti mpya BAVICHA Kanda ya Nyasa
Hata hivyo Matukio Daima media tumeendelea kumtafuta Nkuna bila Mafanikio ili kupata maoni yake baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo.
0 Comments