Header Ads Widget

MWENYEKITI CCM MKOA WA IRINGA NA WABUNGE WA MKOA WA IRINGA KIKAO KAZI

 

Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Daud Yassin katikati waliokaa akiwa na MNEC Salim Abri Asas kushoto na katibu wa CCM mkoa wa Iringa Said Goha  pamoja na wabunge wa mkoa wa Iringa kutoka kulia Jackson Kiswaga wa Kalenga,Exaud Silaoneka Kigahe ambae ni naibu Waziri wa viwanda wa Mufindi kaskazin,Wiliam Lukuvi wa Isman ambae pia ni Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu sera na uratibu wabunge ,Cosato Chumi wa Mafinga ambae pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Justin Nyamoga wa Kilolo na Jesca Msambatavangu wa Iringa mjini

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI