Header Ads Widget

BINTI MZINDAKAYA AKABIDHI MAGODORO 30 SHULE YA ELIMU MAALUMU SUMBAWANGA

 


TAZAMA FULL VIDEO BOFYA LINK HII

Jackline Mzindakaya amekabidhi Msaada wa 

amekabidhi magodoro 30 katika Shule ya elimu maalum Malangali na kumaliza changamoto ya watoto kulala chini shuleni hapo huko katika Manislaa ya Sumbawanga ikiwa ni kuunga juhudi za serikali katika kuboresha elimu na utoaji wa elimu bure.


Amesema msaada huo ni kwa lengo la kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.



Amesema ametoa msaada kwa utashi na upendo kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa hasa katika kusaidia kundi hilo lenye mahitaji maalumu.


Jackline Mzindakaya ni binti wa aliyekuwa

Mwanasiasa mkongwe nchini Mbunge wa Jimbo la Kwela wilayani Sumbawanga kwa miaka 45 Dkt. Chrisant Majiyatanga Mzindakaya.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI