Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara) Tundu Lissu amewasili katika Jimbo la Iramba Mashariki Mkoani Singida kwa ajili ya ziara ya wiki tatu na kuanza na mkutano wa kwanza kwenye Kata ya Kaserya, Kata ya Ndago na kumaliza na mkutano katika Kata ya Shelui Jimbo la Iramba Magharibi.
0 Comments