Header Ads Widget

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA RC SIMIYU,KENANI KIHONGOSI ACHUKUA NAFASI

 


Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amemteua Kenan Kihongosi kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya uteuzi huo Kihongosi alikuwa mkuu wa wilaya ya Momba 

Kihongosi amechukua nafasi ya Dkt Yahaya Nawanda ambe uteuzi wake umetenguliwa.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI