Chama cha Act Wazalendo kimesem Zanzibar imeanza kunufaika na miradi mingi ya maendele tangu Rais wa Jamhuri ya mùngano wa Tanzania mama dk Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huo.
Hayo yamelezwa na Makamu mwenyekiti wa Chama cha ACT wazalendo taifa Bwana Ismail jussa alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa kivumbi jimbo la shaurimoyo mkoa wa mjini Magharibi unguja
Naye mjumbe wa Kamati kuu ya Chama hicho na waziei wa Zamani wa smz Bwana Mansour Yussuf Himid amesema matukio yanayojitokeza zanzibar yanakwenda kinyume na malengo na misingi ya Maapinduzi ya Zanzibar January 12 mwaka 1964.
Chama cha act wazalendo kimeanzisha mikutano ya hadhara ya jimbo kwa jimbo kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu oktoba mwakani wakiwa wamebeba agenda kubwa wakizungumzia misingi ya Utawala bora.
0 Comments