Header Ads Widget

BREAKING:MWANDISHI ALIYEANDIKA TUHUMA ZA RC SIMIYU AKAMATWA

 TAZAMA VIDEO BOFYA LINK HII


Kuna taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa habari Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti ,mwandishi huyu amekamatwa Tarima usiku wa kuamkia Leo,


Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .

Matukio Daima media tunamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili .


🛑karibu utangaze na Matukio Daima media piga 07447044508








Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI