Basi la kampuni ya Abood kutoka Dar es Salaam kwenda Tunduma mkoani Songwe limepata ajali eneo la Sao hill Mafinga Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 11:Alfajiri mmoja kati ya mashuhuda waliozungumza na Matukio Daima media alisema hakuna vifo ila Dereva na Kondakta wamejeruhiwa.
Matukio Daima media tunaendelea kumtafuta kamanda wa polisi mkoa wa Iringa ili kupata taarifa ya kina .
1 Comments
Poleni majeruhi wote.
ReplyDelete