Mdau wa maendeleo mkoa wa Iringa Dkt Kifimbo kulia akimpongeza mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Iringa Wiliam Mungai baada ya Kukutana Leo mjini Iringa ,Mungai amefanikiwa kutetea tena nafasi yake kwa kupata kura 47 kwa kura 34 alizopata mpinzani wake wakili Emmanuel Chengula
0 Comments