Header Ads Widget

MASHINDANO YA VITIVO 2024 CHUO KIKUU MZUMBE YAHITIMISHWA KWA SHAMRASHAMRA MEI 26

 



 Mashindano ya vitivo Chuo Kikuu Mzumbe Kwa mwaka huu 2024 yamehitimishwa Mei 26, yakihusisha michezo mbalimbali na washindi kuondoka na zawadi ya Kombe, mipira na jezi.


kila mwaka Mzumbe imekuwa ikiandaa mashindano hayo Kwa lengo la kukuza taaluma, vipaji, na mshikamano  miongoni mwa wanafunzi. 




Akifunga mashindano hayo Kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha,  Amidi wa wanafunzi Bw. Alphonce Kauky amewapongeza waandaaji wa mashindano na washiriki Kwa kuonesha ushindani ukubwa.


Katika mashindano hayo washindi walipata zawadi mbalimbali pamoja na Fedha taslimu, kwenye mpira wa  miguu Shule ya Sheria aliibuka kidedea Kwa kuichapa goli moja Kwa sifuri kitivo Cha Sayansi na Teknolojia.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI