Header Ads Widget

WAKAZI WA LUHUNGA WAKITAZAMA KALENDA MAONO MIKAKATI NA MATOKEO ILIYOTOLEWA NA MBUNGE DAVID KIHENZILE


 
Wakazi wa Luhunga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakifurahia Kalenda ya mwaka 2024 zinazotolewa na ofisi ya mbunge wa Jimbo la Mufindi kusini David Kihenzile kwa wapiga kura wake.

Kalenda hizo zenye picha ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge Kihenzile zimepokewa kwa mikono miwili na wananchi hao .

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI