Mhitimu wa miaka 95, David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuingia darasani ilikuisaka PHD, ambayo itamuweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 na hii ni baada ya kuhitimu shahada ya Uzamili (MA) katika chuo kikuu cha Kingston.
David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya Akili na amehitimu kutoka chuo kikuu cha Kingston na shahadaya uzamili katika falsafa ya kisasa ya ulaya.
Hata hivyo amesema shahada yake ilikuwa kazi ngumu kuipata kwa sababuya uwezo wa kumbukumbu kuwa tofauti na ilivyokuwa zamani kutokana na umri.
0 Comments