Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika Hoteli ya Speke Resort, Kampala Uganda Januari 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 | Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika Hoteli ya Speke Resort, Kampala Uganda Januari 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
|
0 Comments