Matukio Daima,Kilosa
MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha zimesababisha athari kwa watu na Miundo mbinu ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka na kamati yake ya Usalama ya Wilaya wamekagua maeneo yaliyoathirika katika Tarafa ya Kidete wilayani humo.





0 Comments