Header Ads Widget

BASI LA TILISHO LAPATA AJALI ENEO LA MKATA

Basi la kampuni ya Tilisho Safari T551 DUY imepata ajali na kupinduka eneo la mkata wilaya ya Handeni wakati likitokea Dar es Salaam kwenda Arusha  majira ya saa moja na nusu Asubuhi Januari 11,2024


Katika ajali hiyo majeruhi walikimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu,tunaendelea kumtafuta kamanda wa Polisi ili kuthibitisha kama kuna vifo katika ajali hiyo.

Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema chanzo cha ajali hiyo imesababishwa na lori kuovateki eneo hilo

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI