Nasikitika kuwataarifu kuwa Mtumishi mwenzetu wa Upendo Media RUTH HESLON amefariki dunia alfajiri ya Leo November 29, 2023 kwa ajali ya basi iliyotokea huko Manyoni Mkoani Singida.
Ajali iliyosababisha kifo cha RUTH ilitokea baada ya basi la Ally's alilokuwa akisafiria kugonga kichwa cha treni.
Marehemu alikuwa Afisa Masoko wa Upendo Media na alikuwa safarini kuelekea Karagwe kwenye harusi ya mdogo wake.
Naomba tuungane na wanafamilia kuwaombea na kuwafariji katika kipindi hiki kiguma.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE






0 Comments