![]() |
Janeth Mahawanga; Mbunge wa viti mahalum wanawake mkoa wa Dar es salaam |
Mbunge wa viti mahalum wanawake mkoa wa Dar es salaam Janeth Mahawanga Amesema Serekali inapambana kutafuta wawekezaji kutoka nje ya nchi na kuwainua wa ndani Kwa lengo la kutanua wigo wa ajira na kukuza uchumi wa Taifa.
Ameyesema hayo Jijini Dar es salamu katika uzinduzi wa kampuni ya kitanzania ya Asantemotors ambayo imetoa ajira Kwa watu zaidi ya 15.
Pia ametoa wito Kwa wakulima kujitokeza Ili waweze kuagiza matreka kwaajili ya kilimo Cha bihashara na kuachana na kilimo Cha mkono.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Asantemotors ametoa wito Kwa serekali kuwashika mkono Kwa wawekezaji wazawa Ili kuweza kuwainua na kukuza uchumi wa Taifa.
0 Comments