Kada wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Mjini Maneno Mbuma amefariki Dunia katika Ajali ya gari mkoani Pwani .
Maneno akiwa na familia yake amepata ajali ya gari dogo alilokuwa akiendesha kugongana na Lori wakati akiwa safarini kuelekea Jijini Dar es Salaam kumpeleka baba yake katika matibabu .
Katika Ajali hiyo maneno na babake na abiria wengine wawili walipoteza Maisha .
Matukio Daima Media tunatoa pole na tutaendelea kuwajuza zaidi
0 Comments