Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba ya kupinga mkataba wa Bandari baada ya Mwenyekiti wa jopo la majaji kupata dharula (kutokuwepo mahakamani) hivyo Msajili wa Mahakama kuu ameahirisha shauri hilo hadi Agosti 10, 2023
.
0 Comments