Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt.Yahaya Nawanda akitoa maelekezokatika Kikao cha Baraza maalumu la Madiwani Baradi DC 19 Juni 2023.
Bariadi-Dutwa
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt.Yahaya Nawanda ametoa siku 7 kwa wa Kampuni ya Kahama Oil Mills ya Mkoani Shinyanga kulipa deni la Ushuru wa Pamba la shilingi Milioni 8, inalodaiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
Dkt Nawanda pia amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Bw.Simon Simalenga kufanya ufuatiliaji kuhakikisha Kampuni hiyo inalipa deni hilo mapema iwezekanavyo kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yake.
Hatua hizo zinakuja baada ya Taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali kubaini uwepo wa Makampuni yanayodaiwa Ushuru wa Pamba jumla ya Shilingi 16,579,620 katika hesabu zilizoishia 30 Juni 2022.
“Mhe.DC nakuagiza leo mtafute Kahama Oil Mills popote alipo,wasiliana na DC wa Kahama
0 Comments