Andrew Wilson Massawe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Uteuzi umeanza Aprili 2, 2023
Prof. Ulingeta Obadia Lebson Mbamba ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kipindi cha Miaka 3. Uteuzi umeanza Machi 29, 2023.
0 Comments