Aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) mkoa wa Iringa Salim Abri Asas amefanikiwa kutetea nafasi yake Kwa kupata kura 593 huku aliyemfuata Mgobe Kihongosi akiambulia kura 34 na Dkt Alex Sanga akipata kura .
Huku Daud Yasin akishinda Kwa kura 481 kati ya kura 122 alizopata Dr Neema Chaula na Anna Michael akipata kura 48 kushoto ni Salim Abri Asas aliyeshinda Kwa kura 593
0 Comments