Mikoa mbalimbali ikiwasili katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Mjini Tabora mapema leo tarehe 04 Agosti 2022 tayari kwaajili ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA kitaifa.
Mashindano hayo yatafunguliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe KassimMajaliwa
0 Comments