Na Matukio Daima APP Mtwara,
Meneja Mamlaka za maabala ya Mkemia mkuu wa serikali kanda ya kusini Ismail Mkenga akemea wanaopoteza ushahidi kwenye kesi za ubakaji.
Kauli hiyo aitoa katika maonyesho ya nananane Kanda ya kusini nakusema katika familia nyingi wanaobakwa wanafishwa halo ambayo inapoteza ushahidi.
"Wengi sasa wanakuja kutoa taafia za watoot wajawazito dna ina sheria pia huwezi chukua sampuli kama mtu anamimba mpaka azae "
"Kama kuna watoto wa shule wanapata mimba tunahakikisha kuwa kwakutumia dna tunpata wahusika hata kwenye mauaji pia tunatumia DNA ili kuhakikisha kuwa haki inapatikana na waharifu wanapatikana"
"Matukio ya uchunguzi wa DNA tunachukua ushahidi hata iwe mate, nguo tunaweza kufanya uchunguzi kwakuchukua mbegu za kiume zinazobaki kwa mtuhumiwa ili kubaini ni kweli kafanyiwa kitendo hicho"
Ni vema Wazazi waje wapate elimu mtoto akibakwa asiogeshwe ili tuweze kupata majibu mazuri na tunawaeleza namngani wanweze kulinda vilelezo vya unaweza kwenda kwenye tukio unakuta mtoto amebakwa ameoga na nguo zimefuliwa hii lakini wanasahau kuwa muharifu hawezi kufanya tukio na asiache ushahidi
Nae Jackline lubonera makazi wa Lindi alisema kuwa elimu itolewe ili wengi wajue
"Mimi sikuwahi kufahamu kuwa mkemia mkuu ndio anatoa elimu juu ya vinasaba lakini nilipofika nilipata elimu ni wajibu wa kila mwananchi kufika na kuona ili waweze kupata elimu itakayo wasadiai kwa kiasi kikubwa
0 Comments