Header Ads Widget

ULAJI WA NYAMA YA PANYA WAENDELEA MTWARA

 



Wananchi wa  Kijiji Cha Marumba wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wameendelea kula byama ya panya pamoja na wizara ya Afya kutangaza uwepo wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababishwa na ulaji wa nyama ikiwemo nyama ya Panya

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI