mkazi wa Iringa mjini akipita jirani na duka maarufu la Rangi mjini Iringa la Masari Investment Ltd lililopo eneo Miyomboni Katika barabara kuu ya Iringa-Dodoma Leo asubuhi baada ya uongozi wa duka Hilo kufunga Kwa muda ili kushiriki zoezi la Sensa ya watu na makazi.
Serikali kupitia Waziri mkuu imetangaza siku ya Leo Agosti 23 ni mapumziko Kwa ajili ya Sensa ya watu na makazi ,zoezi ambalo linaungwa mkono na wengi .
Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara mjini Iringa yakiwa yamefungwa kushiriki zoezi la Sensa
0 Comments