Header Ads Widget

TAARIFA KWA WANANCHI MKOANI MARA: MBUNGE GHATI KUREJEA MKOANI MARA BAADA YA BUNGE LA BAJETI 2022/2023 KUHAIRISHWA

 . 


Mbunge wa Viti Maalum Mkoani Mara Mhe.Ghati Zephania Chomete, Anatarajiwa kurejea Mkoani Mara akitokea Jijini Dodoma alipokuwa akitekeleza Majukumu yake ya Ki-Bunge (Bunge la Bajeti Kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023)  Mara tu baada ya kuhairishwa kwa Bunge hilo. 


"Ni muda muafaka sasa kurejea Mkoani Mara kwa lengo la kukutana na kuonana na Wananchi wa Mkoa wa Mara ambao walitukabidhi dhamana kubwa sana kwa kipindi cha Mwaka 2020/2025 kuwa Wawakilishi wao ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" 


Amesema Mhe.Ghati akiwa Jijini Dodoma. #Mbunge Wetu, Mama Yetu, Dada Yetu, Fahari Yetu, Mara Yetu, Mhe.Ghati Chomete na Bunge la Bajeti

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI