Header Ads Widget

WAZIRI MKENDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI WA ZANZIBAR MHE SIMAI

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohamed Said Ofisini kwake Jijini Dar es salaam.


Pamoja na mambo mengine katika mazungumzo hayo mawaziri hao wamekubaliana kufanya kazi kwa karibu zaidi  katika kupitia Sera Elimu  za Tanzania Bara na Zanzibar na mitaala ya Elimu Msingi.



Baada ya kikao hicho Mawaziri hao wamekubalina kuwa na kikao cha pamoja na wataalam na watendaji kutoka Wizara hizo mbili  kitakachofanyika Zanzibar hivi karibuni ili kujadili utekekezaji.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI