Header Ads Widget

TETESI ZA SOKA


Tetesi kutoka Uturuki zinasema kuwa mmiliki wa klabu ya Chelsea  Roman Abramovich ameanza mazungumzo ya uwezekano wa kuinunua klabu ya Goztepe ya nchini humo.

Kwa mujibu wa chapisho la Uturuki la Fanatik uwezekano huo ni mkubwa na kuashiria kusogea kwa Abramovich nchini humo. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI