Header Ads Widget

BREAKING:MCHUNGAJI MWAKIHABA ASKOFU MTEULE KKKT DAYOSISI YA KONDE


Taarifa zilizotufikia muda huu kutoka kwenye kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde zinadai kuwa aliyekuwa Msaidizi wa askofu Edward Mwaikali  kabla ya kujiuzulu kwake ,mchungaji Godfrey Mwakihaba amechaguliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Konde na Mchungaji Njinga kuwa Msaidizi wake usiku huu baada ya askofu aliyekuwepo kuvuliwa madaraka .

Hata hivyo duru za ndani za  Kanisa Hilo la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) zinadai kuwa kesho Kuna uwezekano mkubwa kufanyika press ambayo wachungaji wa Kanda ya Kyela  kuomba Dayosisi  Nyasa  .

Kutokana na askofu na Msaidizi wake na wakuu wa majimbo wote kutoka wilaya ya  Busokelo .

Msaidizi wa askofu Njinga (Mbeya ) mkuu wa Majimbo watatu wote kutoka  (Busokelo) huku Kyala nao wakikusudia kuwa na Dayosisi ya Ziwa Nyasa ...

Huku washarika wa Kanisa hilo wao wanadai suala la nani Katoka wapi haliwahusu wanachoamini wao ni Ulutheri wao ndio msingi wao .

Usikose kuendelea kufuatilia Matukio Daima Kwa habari zaidi ......






Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI