Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro ajali Fortunatus Musilimu alisema ajali hiyo imetokea eneo la Melela kibaoni njia panda ya Kilosa barabara kuu ya Iringa -Morogoro baada ya basi hilo kugongana na Lori lenye namba za IT likitokea Dar es Salaam.
Kuwa zoezi la kuondoa miili ya waliofariki kwenye ajali na majeruhi linaendelea .
Matukio Daima Media tunatoa pole nyingi Kwa wafiwa na Majeruhi wote .
Habari zaidi tutaendelea kukujuza kupitia Twitter ya Matukio Daima au APP ya Matukio Daima inayopatikana Google Play store
0 Comments