Mwanaharakati na mwanachama wa chama Cha ACT Wazalendo Abdul Nondo amefutiwa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni ,baada ya upande wa Jamhuri kuomba kutoendelea na kesi hiyo Leo Katika mahakama ya Rufaa masajala ya Iringa.
Na Mwandishi Wetu. Kampuni ya MMI Steel iliyo chini ya makampuni ya Motisun Grou…
0 Comments